Header Ads

ILI KUPATA HABARI NA TAARIFA MBALIMBALI ZA WILAYA YA MAKETE PITIA WEBSITE HII MARA KWA MARA


Halmashauri ya Wilaya ya Makete Mkoani Njombe imeanzisha Website ambayo itakuwa rahisi kwako kutembelea na kujifunza mambo mengi kupitia Website hiyo ya Kisasa na yenye Mwonekano wa Kuvutia

Hii ni katika kuboresha huduma za upatikanaji wa Taarifa mbalimbali zinazohusu Halmashauri ya Wilaya ya Makete,Mkoa wa Njombe na Taifa kwa ujumla

Sasa unaweza kutembelea Website ya Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kupitia link hii http://www.maketedc.go.tz/

 Huu ni mwonekano wa Website hiyo Mwanzoni
Mwonekano wa Website hiyo kwa ndani

No comments

Powered by Blogger.