Mwanasheria wa NEMC na Polisi wawili wadakwa kwa kuomba Rushwa
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi la Mazingira(Nemc), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni, wanashikiliwa na Takukuru wakidaiwa kuomba rushwa ya Sh milioni 1 kutoka kwa mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic Co.Limited, jijini DSM
No comments