Mbunge Mwingine wa CHADEMA Kuhusu Kuhamia CCM Leo
Mbunge
wa Moshi Vijijini Kupitia CHADEMA Anthony Komu amesema hana mpango wa
kukihama chama hicho na kujiunga na chama tawala (CCM)
Akizungumza
na waandishi wa habari leo jijini Dar Es Salaam Mbunge huyo amesema
amekuwa akihusianishwa na kukihama chama hicho lakini yeye hajawahi
kufikiria hivyo wala kuzungumza na CCM kuhusu kuhama chama hicho
Amesema hajawahi kushawishiwa kuhamia CCM na anachoamini hizo ni propaganda zinazoenezwa na CCM
No comments