Header Ads

Mwanasheria wa NEMC na Polisi wawili wadakwa kwa kuomba Rushwa

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi la Mazingira(Nemc), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni, wanashikiliwa na Takukuru wakidaiwa kuomba rushwa ya Sh milioni 1 kutoka kwa mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic , jijini DSM

No comments

Powered by Blogger.