KITULO FM BLOG
Monday, 23 July 2018
KWA NINI MAKETE HATUFANIKIWI? Mwenyekiti MDA Clement Sanga
›
“Kusema kweli hii ni azma ambayo tunataka Makete tubadilike kwa nini sehemu zingine wameweza kufanikiwa? Why not us? Why not here? MDA tu...
Saturday, 9 June 2018
WATUMISHI JIENDELEZENI KIELIMU HUSUSANI WALIMU:-ANTONY MPILUKA
›
Watumishi wa Umma Wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kujiendeleza Kielimu ili kuendana na Utendaji wa kisasa wenye kuzingatia Elimu ...
Tuesday, 5 June 2018
AUAWA KWA KUPIGWA RISASI KWENYE MAKALIO GEITA
›
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Panda Kinasa (36) anayetuhumiwa kuwa kinara wa utekaji watu ameuawa kwa kupigwa na risasi makalioni w...
MBUNGE JIMBO LA MAKETE PROF.NORMAN SIGALLA KING AMEKABIDHI SHILINGI LAKI TANO NA BATI 50 UKARABATI WA MADARASA S/M TANDALA
›
Mbunge wa Jimbo la Makete Prof.NORMANI SIGALLA KING ametoa bati Hamsini pamoja na kiasi cha fedha Taslimu shilingi laki Tano na nusu ...
Sunday, 3 June 2018
MAGUFULI ATEUA MWINGINE
›
Katika kuhakikisha adhima yake ya kesi kumalizika kwa wakati na haki kupatikana inatimia, Rais Magufuli ameendelea kuboresha utenda...
NAMNA AMBAVYO MARIA NA CONSO WALIVYOFARIKI KWA MPISHANO WA DAKIKA KATI YA 10 NA 15
›
Mganga mfawidhi Hospitali ya Rufaa Iringa Museleta Nyakiroto ameeleza namna ambavyo safari ya Maria na Consolata ilivyokuwa “Mnamo ...
SHULE YA MSINGI YENYE VYUMBA VINNE VYA MADARASA NA WANAFUNZI KUANZIA DARASA LA KWANZA MPAKA LA SABA WILAYANI MAKETE HII HAPA
›
Shule ya Msingi Imehe iliyopo Kata ya Bulongwa ni miongoni mwa shule kongwe Wilayani Makete lakini bado inakabiliwa na uhaba mkubwa wa ku...
Saturday, 2 June 2018
TAKUKURU MAKETE WAAGIZWA KUCHUNGUZA MIRADI HII SHULE YA SEKONDARI MATAMBA NA SHULE YA MSINGI MANGA
›
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa Charles kabeho amegoma kuzindua mradi wa Vyoo vya kisasa Shule ya Sekondari Matamba kata ya Matamba Wila...
RAIS MAGUFULI AWALILIA MARIA NA CONSOLATA
›
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na kifo cha ...
Monday, 28 May 2018
MWENGE WA UHURU UMEWASILI MKOANI NJOMBE
›
Mwenge wa Uhuru umeshawasili Mkoani Njombe na kupokelewa asubuhi ya leo Mjini Makambako ukiwa umetokea Mkoani Iringa Ukiwa Halmashaur...
›
Home
View web version